Mtunzaji wa wanyama katika mbuga ya taifa ya wanyama kusini mwa India ameshambuliwa na kuuawa na chui milia wawili, maafisa wanasema. Mhudumu huyo wa miaka 40 aliuawa alipojaribu kuwaelekeza wanyama ...
Mhudumu wa Shirika la ndege la Emirates aliyeanguka akiwa kwenye mlango wa kutokea wa dharura siku ya Alhamisi, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Entebbe nchini Uganda, amefariki dunia. Msemaji ...
Serikali ya Japani imetoa onyo jipya kwa Shirika la Ndege la Japani, JAL kufuatia ukiukaji mwingine wa sheria unaohusisha pombe. Wahudumu wawili wa ndege walikutwa wamekunywa ndani ya saa 12 kabla ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results